Posts

Showing posts from January, 2019

You are stronger than you think

Image
*KAULI ZA USHINDI KUTOKA KWA WATU  ZAIDI DUNIANI.* ✍Donald Trump yeye kila wakati husikika akisema *"I always win,* *I am a winner"*...... Miongoni mwa kitu Trump hakiamini Maishani mwake ni Kushindwa.....Anaamini katika Changamoto lakini huwa haamini katika Kushindwa kwani anajua kuwa Mungu alituumbia Changamoto lakini hakutuumbia Kushindwa.....Ni Maamuzi yetu wenyewe Kushindwa au Kushinda......Na sisi sote ni mashahidi wa bwana Donald Trump kuwa kweli huwa hashindwi, yeye jambo lolote analolitaka akiamua kupambana hata kama kuna vizingiti kiasi gani huwa haamini kushindwa na mwisho huwa anashinda.....Donald Trump aliingia kwenye kitabu cha rekodi za dunia cha *" Guineas Book of World Record "* baada ya kuweka rekodi ya kushinda maeneo mengi ambayo watu walijua atashinda. TUMEUMBIWA USHINDI.....Biblia inasema "Tumefanyika washindi naam zaidi ya Washindi". Warren Buffet akiwa kijana mdogo aliwahi kuwaambia ndugu zake na rafiki zake kuwa " Niki...

MOTIVATION PAGE..... UNLOCK AND LIVE YOUR DREAMS.

Image
UNLOCK AND LIVE YOUR DREAMS Success 🔑 #03: Kata mnyororo na watu wenye kutafuta makosa katika kila jambo unalolifanya (Cut the chain of faults finders). Watafuta makosa/wakosoaji (faults finders)  ni watu ambao kazi yao wakati wote ni kumkatisha mtu tamaa katika jambo lolote analolifanya. Hata kama mtu akijitahidi namna gani, wao watatafuta kasoro fulani tu ili kumkosoa (critism reason). Mara utasikia wakisema,  yule hawezi kitu, pale ameanza tu, lakini hafiki mbali, zile ni nguvu za soda au kawaida yake ni kushindwa. Midomo yao imejaa maneno hasi yenye kukatisha taama na kuvunja moyo. Kuna msemo usemao, "Faults finders,  will even find faults in paradise", yaani hata paradiso watu wakosoaji hutafuta makosa ili wakosoe tu. Kwanini ukate mnyororo nao? 1. Hujifanya wao ni watabiri wa mafanikio ya wengine (success predictors), hivyo kutokana na kauli zao za kukatisha tamaa, humfanya mtu ajijengee mtazamo duni juu ya uwezo wake. 2. Wao ni watu wa kulaumu, kuko...

Form four National examination results 2018/2019

Image
Matokeo ya kidato cha nne 2018/2019 – NECTA Form four (CSEE) Results 2018/19 You are viewing >>> Matokeo kidato ya cha nne 2018 – 2019 matokeo ya form four 2018 – 2019 form four results 2018/19 matokeo kidato cha nne 2018/19 necta.go.tz results 2018/19 This is an achievement test offered to candidates who have completed four years of secondary education. Certificate of Secondary Education Examination(CSEE) Results 2018/19 The national Form four examination results for 2018 will be announced soon , The following links will be used to access the full results once they are released by The National Examinations Council of Tanzania (Necta) CSEE Results 2018 CLICK HERE TO VIEW THE RESULT

GOOD NEWS..... Government set to employ over 5,500 science teachers in 2019

Image
THE government will employ at least 5,604 mathematics and sciences teachers this year to overcome the shortage teachers in public secondary schools. Education, Science and Technology Deputy Minister William Ole Nasha disclosed this yesterday when closing a training seminar for science and mathematics teachers in Korogwe district, Tanga region. He said the government was aware of acute teacher shortages and had plans to recruit more teachers while at the same time building the capacities of available teachers. “The government wants to solve various challenges affecting the education sector so as to increase the pass rate of students,” he said. Tanzania has been experiencing poor performance of students in mathematics and sciences subjects due to lack of teachers as well as laboratories. However, various steps have been taken by the government to ensure laboratories are constructed at all public schools while training more science teachers. Among other initiatives, the go...

MATOKEO YA DARASA LA NNE 2018/2019.

Image
SFNA Results 2018/19 | Matokeo ya darasa la nne 2018 Standard Four National Assessment Results 2018/19 The national standard Four examination results for 2018 will be announced soon , The following links will be used to access the full results once they are released by The National Examinations Council of Tanzania (Necta) Click here to view the result 

FORM TWO NATIONAL ASSESSMENT (FTNA) RESULT 2018/2019

Image
NECTA Form Two National Assessment (FTNA) Result 2018/19 Form Two National Assessment 2018/19 – matokeo form two 2018/19 The National Examinations Council of Tanzania administered the Form Two National Assessment (FTNA) since 2014.  The Form Two National Assessment Formats have been prepared taking into account the topics stipulated in the syllabuses currently in use. Form Two National Assessment results Form two national examination results for 2018 are out click this link to view the results CLiCK here to view the result