You are stronger than you think
*KAULI ZA USHINDI KUTOKA KWA WATU ZAIDI DUNIANI.*
✍Donald Trump yeye kila wakati husikika akisema *"I always win,* *I am a winner"*...... Miongoni mwa kitu Trump hakiamini Maishani mwake ni Kushindwa.....Anaamini katika Changamoto lakini huwa haamini katika Kushindwa kwani anajua kuwa Mungu alituumbia Changamoto lakini hakutuumbia Kushindwa.....Ni Maamuzi yetu wenyewe Kushindwa au Kushinda......Na sisi sote ni mashahidi wa bwana Donald Trump kuwa kweli huwa hashindwi, yeye jambo lolote analolitaka akiamua kupambana hata kama kuna vizingiti kiasi gani huwa haamini kushindwa na mwisho huwa anashinda.....Donald Trump aliingia kwenye kitabu cha rekodi za dunia cha *" Guineas Book of World Record "* baada ya kuweka rekodi ya kushinda maeneo mengi ambayo watu walijua atashinda.
TUMEUMBIWA USHINDI.....Biblia inasema "Tumefanyika washindi naam zaidi ya Washindi".
Warren Buffet akiwa kijana mdogo aliwahi kuwaambia ndugu zake na rafiki zake kuwa " Nikifikisha miaka 30 sijawa Milionea nitajirusha toka juu ya ghorofa lenye urefu mkubwa ili nife"......Baada ya kuuambia umati kauli hii kali hakuenda kulala bali aliamua kujitesa usiku na mchana, Alichangamkia kila fursa ya biashara iliyokuwa mbele yake na Ali take risk bila uwoga....na kabla ya miaka 30 kufika alitimiza ndoto yake ya kuwa Milionea.
MUNGU ALITUPA MAMLAKA YA KUMILIKI NA KUTAWALA......NA UNACHOKIRI NDICHO KINACHOTOKEA.....JITAMKIE USHINDI NDANI YAKO NA KISHA PAMBANA KUKITIMIZA KILE ULICHOKITAMKA!!
Floyd Mayweather kwenye mahojiano wakati anajiandaa na pambano na mpinzani wake mkubwa Conor McGregor alisema "Losing is not in my mind, and I never lose"...... Lakini pia alikuwa anajiandaa na shindano na Manny Pacquiao alipohojiwa alisema " Sijawahi poteza shindano lolote na siji poteza shindano lolote Maisha yangu yote, Ninaenda ulingoni kuchukua ushindi tu na si vinginevyo"......Na kweli mpaka Leo hii Floyd Mayweather ndiye Mwanamasumbwi pekee kwenye huu ulimwengu ambaye hajawahi poteza pambano lolote.....Amepambana mapambano 50 na Ameshinda mapambano yote.
"Ushindi na Kushindwa vipo ndani ya uwezo wako.....Wewe ndo unaamua uwe mshindi kwenye Maisha au la.....Just Your Mindset"
Ajitazamavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo.....Ukijiona Mshindi Utakuwa Mshindi Hakika!!
WEWE NI MSHINDI, WEWE NI MTU MKUU.
By Emmakehogo instagram
0768782509
Live Your Dream!!

Comments
Post a Comment